Waumini wa Sayuni wanasifiwa kwa mafanikio yao mazuri katika masomo yao, shughuli za kujitolea, na maisha ya imani, lakini jambo la muhimu zaidi miongoni mwayo ni imani yao katika Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, Siri za ufalme wa mbinguni.
Mamia ya miaka baada ya Mfalme Daudi kufa, nabii Ezekieli alitabiri kwamba Mungu Atakuja kama Daudi na agano jipya katika siku za mwisho.
Kristo Ahnsahnghong, Aliyekuja kama Daudi wa kiroho, Aliirudisha Pasaka ya agano jipya ambayo iliondolewa mnamo mwaka 325 BK, na kuturuhusu tujue kwamba tunaweza kuokolewa pale tu tunapokuja kwa Mungu Mama, ambaye ndiye uhalisi wa agano jipya.
“Daudi mtumishi wangu atakuwa mkuu wao milele. Nitafanya nao Agano la amani, litakuwa Agano la milele. . . .
nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.”
Ezekieli 37:25–27
“Siku zinakuja,” asema BWANA, “nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda. . . .
Nitaweka sheria yangu katika nia zao, na kuiandika mioyoni mwao. Nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.”
Yeremia 31:31–33
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha