Matokeo ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya ni kifo, na mti wa uzima huleta uzima wa milele.
Katika Bustani ya Edeni, Adamu na Eva walifukuzwa nao wakaja kufa kwa sababu walikula kutoka kwenye mti wa ujuzi wa mema na mabaya.
Historia hii inaonyesha kwamba wanadamu wamewekewa kufa kwa sababu walitenda dhambi mbinguni.
Miaka elfu mbili iliyopita, Yesu Alikuja duniani kwa ajili ya wokovu wa wanadamu, na katika enzi ya Roho Mtakatifu, Kristo Ahnsahnghong Alikuja katika dunia hii, naye Akatujalia uzima wa milele kwa njia ya Pasaka ya agano jipya, ambayo ni uhalisi. ya mti wa uzima.
Zaidi ya hayo, Kristo Ahnsahnghong, Aliyeleta mti wa uzima, ndiye Mshauri wa Sayuni Aliyetabiriwa katika kitabu cha Mika.
Anatujulisha kwamba wokovu wa mwisho wa wanadamu unamtegemea Mungu Mama.
Kisha BWANA Mungu akasema, “Sasa mtu huyu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya. Sharti asiruhusiwe kunyoosha mkono wake na kuchuma pia kutoka mti wa uzima akala, naye akaishi milele.”
Mwanzo 3:22
Hivyo Yesu akawaambia, “Amin, amin nawaambia, msipoula mwili wa Mwana wa Adamu na kuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu.
Mtu yeyote aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu, anao uzima wa milele. . . . ”
Yohana 6:53–54
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha