Leo, watu wengi ulimwenguni pote humwabudu Mungu Jumapili.
Lakini siku ambayo Mungu anabariki na kutuamuru tuikumbuke kwa kuitakasa ni siku ya Sabato (Jumamosi).
Ufalme wa mbinguni si mahali ambapo watu wanaweza kwenda kwa kumwamini Mungu tu na kwenda kanisani. Ni wale tu wanaoshika siku ya Sabato ambayo ni ishara ambayo Mungu amewapa watu wake wanaweza kwenda kwenye ufalme wa mbinguni.
Kama vile washindi maarufu, wanasiasa, na watu matajiri walikufa, watu wote wanakufa na kukaa milele mbinguni au kuzimu. Mara tunapotambua hili, ni lazima tufuate njia ya ufalme wa mbinguni ambayo Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama wametufundisha, yaani, siku ya Sabato katika Biblia.
Ikumbuke siku ya Sabato, uitakase. Kwa siku sita utafanya kazi na kutenda shughuli zako zote, Lakini siku ya Saba ni Sabato kwa Bwana, Mungu wako....Kwa hiyo Bwana akaibariki siku ya Sabato na kuifanya takatifu.
Kutoka 20:8–11
“Si kila mtu aniambiaye, ‘Bwana, Bwana,’ atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni, bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
Mathayo 7:21
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha