Biblia sio hadithi za kubuniwa; ni neno la uzima kutoka kwa Mungu, Anayehakikisha mustakabali wa wanadamu. Kupitia unabii aliopewa Danieli kuhusu kuinuka na kuanguka kwa falme baada ya Ufalme wa Babeli, maelezo ya mzunguko wa maji na ukweli wa kisayansi kama dunia kuning’inia angani uliofunuliwa kwa Ayubu miaka 3,500 iliyopita, tunaweza kujua kwa uhakika kwamba Biblia ni neno la Mungu.
Mtume Yohana aliwaona watakatifu ambao wataokolewa—wale ambao majina yao yaliandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo. Leo, waumini wa Kanisa la Mungu, ambao majina yao yameandikwa katika kitabu cha uzima kama Mtume Yohana alivyoona kabla, wanautimiza unabii, wakiguswa sana na utukufu wa milele watakaoufurahia katika ufalme wa mbinguni.
Lakini watakatifu wa Yeye Aliye Juu Sana watapokea ufalme na kuumiliki milele: naam, milele na milele.’ Danieli 7:18
Usiku hautakuwako tena, wala hawatahitaji mwanga wa taa au wa jua, kwa maana Bwana Mungu atakuwa nuru yao, nao watatawala milele na milele. Ufunuo 22:5
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha