Maneno yasemayo, “Usijisifu kwa ajili ya kesho,” ni ukumbusho wa Mungu kwamba ni muhimu kutoahirisha fursa yetu ya baraka hadi kesho isiyo na hakika. Badala yake, lazima tushiriki upendo wetu na kaka na dada zetu leo, tusali leo, tutubu makosa yetu leo, na tuhubiri habari za wokovu leo.
Kupitia historia ya yule towashi wa Kandake, malkia wa Kushi, aliyebatizwa mara tu alipoelewa ukweli akiwa njiani, na yule mkuu wa gereza na watu wa nyumbani mwake, waliobatizwa usiku wa manane bila kungoja mapambazuko, Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Wametufundisha kwamba tunaweza kuuokoa ulimwengu tu kwa kuhubiri injili ya agano jipya—habari za wokovu—wakati ule ule tunapoitambua.
Usijisifu kwa ajili ya kesho, kwa kuwa hujui ni nini kitakachozaliwa kwa siku moja. Mithali 27:1
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha