Wale wanaosimama upande wa Mungu wanakumbuka amri Yake, siku ya Sabato, na kuitakasa. Kinyume chake, wale walio upande wa Shetani wanaipinga siku ya Sabato, ambayo ni mapenzi ya Mungu. Biblia imeandika kwamba hatimaye wataudanganya ulimwengu wote na kuuongoza kwenye maangamizi.
Watu wa Mungu wanaosimama upande wa Mungu sikuzote wanazishika amri Zake. Mtume Yohana aliwafafanua wale wanaomfuata Mwana-Kondoo kila Aendako kuwa “watakatifu.” Alisema kwamba wao ndio wanaoonyesha uvumilivu wao kwa kushika amri za Mungu hadi mwisho kabisa.
Hapa ndipo penye wito wa subira na uvumilivu wa watakatifu; wale wanaozishika amri za Mungu na kudumu katika uaminifu kwa Yesu. Ufunuo 14:12
‘‘Ikumbuke siku ya Sabato, uitakase.’’ Kutoka 20:8
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha