Sifa za kustahili kuingia katika ufalme wa mbinguni ni za wale tu wafanyao mapenzi ya Mungu. Biblia ni ujumbe wa Mungu wa wokovu kwa wanadamu wote, ulioandikwa na manabii walioongozwa na Roho Mtakatifu kuandika mapenzi Yake. Ndiyo maana Mungu Aliamuru kwamba lazima tusiongeze wala kupunguza katika maneno Yake.
Katika Biblia, Mungu Anarejelewa katika wingi, sio umoja, takriban mara 2,500. Zaidi ya hayo, Biblia inashuhudia kwamba kama vile mama yupo katika ulimwengu wa mimea na ulimwengu wa wanyama ambao waliumbwa kulingana na mapenzi ya Mungu, vivyo hivyo katika ufalme wa mbinguni, yupo Mungu Mama, ambaye hutoa uzima wa milele, na ipo familia yetu ya kiroho ya mbinguni.
Kwa hiyo, “Tokeni miongoni mwao, mkatengwe nao, asema Bwana. Msiguse kitu chochote kilicho najisi, nami nitawakaribisha.” Na, “Mimi nitakuwa Baba kwenu, nanyi mtakuwa wanangu na binti zangu, asema Bwana Mwenyezi.” 2 Wakorintho 6:17–18
Lakini Yerusalemu wa juu ni huru, nayo ndiye mama yetu. Wagalatia 4:26
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha