Kila neno la Mungu lililoandikwa katika Biblia linatimizwa bila kushindwa. Biblia ilishuhudia kuhusu Yesu Aliyekuja miaka 2,000 iliyopita, na inashuhudia kazi ya wokovu itakayofanywa katika enzi ya Roho Mtakatifu na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, ambao Wamekuja kama Roho na Bibi arusi.
Biblia inatabiri kwamba watu watakaookolewa—wale wenye imani ya kuwa washindi katika ulimwengu huu unaotawaliwa na Shetani—ni watoto waliosalia wa huyo Mwanamke, wazishikao amri za Mungu. Pia inashuhudia kwamba wao, kama Isaki, watapokea urithi wa ufalme wa mbinguni kupitia Mama.
Ninyi mnachunguza Maandiko mkidhani ya kuwa ndani yake mna uzima wa milele, maandiko haya ndiyo yanayonishuhudia Mimi . . . Yohana 5:39
Lile joka kuu likatupwa chini, yule nyoka wa zamani aitwaye ibilisi au Shetani, aupotoshaye ulimwengu wote. Akatupwa chini duniani, yeye pamoja na malaika zake. Kisha lile joka likapatwa na hasira kali kwa ajili ya huyo mwanamke na likaondoka ili kupigana vita na watoto waliosalia wa huyo mwanamke, yaani, wale wanaozitii amri za Mungu na kuushika ushuhuda wa Yesu Kristo. Ufunuo 12:9, 17
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha