Wanadamu walidanganywa na Shetani katika ufalme wa mbinguni na, wakiwa wamemsaliti Mungu, wakatupwa chini duniani kwa sababu ya dhambi hiyo. Kuwatafuta watoto waliopotea kutoka mbinguni, kuwajalia msamaha wa dhambi, na kuwarudisha katika ufalme wa mbinguni, Yesu Alikuja miaka 2,000 iliyopita, na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Wamekuja katika enzi hii.
Kupitia mifano ya talanta na mafungu ya fedha, Yesu Alifundisha kwa undani jinsi watoto ambao wamekuja kufahamu upendo wa Mungu wanaweza kumletea Mungu shangwe. Kama vile Mungu Alivyohubiri bila kukoma kuwatafuta watoto waliopotea kutoka mbinguni, sisi pia lazima tutafute kaka na dada zetu waliopotea—hii ndiyo karama ya thamani zaidi tunayoweza kumtolea Mungu.
Alfajiri na mapema sana kulipokuwa bado kuna giza, Yesu akaamka, akaondoka, akaenda mahali pa faragha ili kuomba. Yesu akawajibu, “Twendeni mahali pengine kwenye vijiji jirani, ili niweze kuhubiri huko pia, kwa sababu hicho ndicho nilichokuja kukifanya.” Marko 1:35, 38
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha