Mungu Alimkomboa Mose na Waisraeli kutoka Misri kwa nguvu ya Pasaka. Waisraeli hawakuadhimisha Pasaka kwa miaka 38, lakini waliiadhimisha Pasaka kabla tu ya kuingia katika nchi ya Kanaani. Kupitia Pasaka ya agano jipya, Yesu Mwenyewe Alikuja na kuwapa wanadamu uzima wa milele. Kupitia mambo hayo, tunaweza kuona kwamba Pasaka ni amri muhimu ambayo wanadamu wote wanapaswa kujifunza kutoka kwa baba zao.
Leo, Kristo Ahnsahnghong Alitufundisha tena Pasaka ya agano jipya, ambayo haijaadhimishwa kwa miaka 1,600, na chini ya mwongozo wa Mungu Mama, waumini wa Kanisa la Mungu ulimwenguni kote wanaiadhimisha kitakatifu. Hii ni kwa sababu baraka ya ajabu ya kuwa watoto wa Mungu iko katika Pasaka.
“Lakini ukimtafuta Mungu, nawe ukamsihi Mwenyezi, ikiwa wewe ni safi na mnyofu, hata sasa atainuka mwenyewe kwa niaba yako, na kukurudisha katika mahali pako pa haki. Ijapokuwa mwanzo wako ulikuwa mdogo, lakini mwisho wako utakuwa wa mafanikio.” “Ukaulize vizazi vilivyotangulia na uone baba zao walijifunza nini.”
Ayubu 8:5–8
[W]anafunzi walimjia Yesu wakamuuliza, “Unataka twende wapi ili tukuandalie mahali pa kula Pasaka?” . . . Yesu akachukua mkate” . . . “Twaeni mle; huu ndio mwili wangu” . . . “Nyweni nyote katika kikombe hiki. Hii ndiyo damu yangu ya Agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo
Mathayo 26:17–28
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha