Mungu Aliwapa wanadamu, waliotenda dhambi mbinguni nao wakafukuzwa Duniani, mji wa makimbilio, fursa ya kupokea msamaha wa dhambi na kurudi katika ufalme wa mbinguni kupitia amri Zake.
Kwa upande mwingine, hukumu ya Mungu itakuja juu ya wale ambao wamelivunja agano na kulidharau.
Ni kwa neema ya Mungu tu wanadamu, ambao wamewekewa kufa kwa sababu ya dhambi yao, wanaweza kupokea uzima wa milele.
Mungu Anapowafundisha wanadamu njia ya uzima katika enzi ya Baba, enzi ya Mwana, na enzi ya Roho Mtakatifu, wale wanaokuja Sayuni na kuadhimisha Pasaka ya uzima, wakiamini maneno Yake, wataokolewa, lakini wale wasioamini maneno Yake na hawayashiki wataadhibiwa mwishoni.
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti, bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.
Warumi 6:23
Hapa ndipo penye wito wa subira na uvumilivu wa watakatifu; wale wanaozishika amri za Mungu na kudumu katika uaminifu kwa Yesu.
Ufunuo 14:12
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha