Tukivunja ahadi za Mungu na kuacha utakatifu na utauwa, tutahukumiwa. Nyuma ya hukumu ya Mungu juu ya ulimwengu—katika wakati wa Noa, katika Sodoma na Gomora, na katika enzi hii ya mwisho—upo mstari unaofanana: watu walimwacha Mungu na wakawa waasi, waovu, na wazinzi.
Leo, kama Noa, tuwe na imani thabiti kwa mambo yasiyoonekana bado. Likiamini unabii wa Biblia kwamba Mungu Atauhukumu ulimwengu mwovu kwa moto, Kanisa la Mungu linahubiri Pasaka ya agano jipya, ambayo ina ahadi ya Mungu ya kuokoa ulimwengu kutoka kwa maafa.
Ulimwengu wa wakati ule uligharikishwa kwa hayo maji na kuangamizwa. Lakini kwa neno lilo hilo, mbingu za sasa na dunia zimewekwa akiba kwa ajili ya moto, zikihifadhiwa hadi siku ile ya hukumu na ya kuangamizwa kwa watu wasiomcha Mungu. 2 Petro 3:6–7
...hii ni Pasaka ya Bwana . Damu itakuwa ishara kwa ajili yenu ya kuonyesha nyumba ambazo mtakuwamo; nami nitakapoiona damu, nitapita juu yenu. Hakuna pigo la uharibifu litakalowagusa ninyi nitakapoipiga Misri. Kutoka 12:11–13
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha