Katika enzi hii, Kristo Ahnsahnghong Alikuja katika dunia hii kama ilivyotabiriwa, Akaanzisha Kanisa la Mungu, na Akamjulisha Mama wa Mbinguni Yerusalemu, Akisema, “Ninamfuata Mama.” Kama ilivyotabiriwa, utukufu wa Mama wa Mbinguni Yerusalemu Umekuwa nuru ya tumaini katika ulimwengu huu wa giza.
Waumini walipoangaza nuru ya Yerusalemu, wakiamini kwamba hii ni injili inayoongozwa na Mungu, watu wa lugha na tamaduni mbalimbali kutoka duniani kote wanaharakisha kurudi Sayuni. Kwa watoto Wake walioamini unabii na kuangaza utukufu wa Mama wa Mbinguni Yerusalemu, Mungu Anatimiza ahadi Yake: “Wataimiliki milele—ndiyo, milele na milele.”
Tazama, giza litaifunika dunia, na giza nene litayafunika mataifa, lakini BWANA atazuka juu yako na utukufu wake utaonekana juu yako. Mataifa watakuja kwenye nuru yako na wafalme kwa mwanga wa mapambazuko yako. Isaya 60:2–3
Lakini watakatifu wa Yeye Aliye Juu Sana watapokea ufalme na kuumiliki milele: naam, milele na milele.’ Danielii 7:18
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha