Kama vile Mungu Alivyotumia fimbo ya mchungaji kugawa Bahari ya Shamu na kufanya chemchemi za maji zitoke kutoka kwenye mwamba, chochote kilicho mkononi mwa Mungu sikuzote kina nguvu kubwa.
Leo, Kanisa la Mungu, ambalo limepokea misheni ya kuhubiri injili katika Samaria na hata miisho ya dunia, linatimiza injili ulimwenguni pote kupitia uweza wa Mungu, wala si kwa juhudi za mtu binafsi.
Kama Samsoni aliyewashinda Wafilisti elfu moja kwa taya la punda, kama mvulana mdogo Daudi aliyepigana dhidi ya jitu Goliathi, na watu kama Petro, Yohana, na Yakobo ambao walikuwa wavuvi, na katika enzi hii, wale wanaowaamini Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama pamoja na kutumainia ufalme wa mbinguni wanajiandikia historia kuu sana.
Ndugu zangu, kumbukeni mlivyokuwa mlipoitwa. Kwa kipimo cha kibinadamu, si wengi wenu mliokuwa na hekima. Si wengi mliokuwa na ushawishi, si wengi mliozaliwa katika jamaa zenye vyeo. Lakini Mungu alivichagua vitu vipumbavu vya ulimwengu ili awaaibishe wenye hekima, Mungu alivichagua vitu dhaifu vya ulimwengu ili awaaibishe wenye nguvu. . . . ili mtu yeyote asijisifu mbele zake. 1 Wakorintho 1:26–29
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha