Kwa kuwa Yesu Alikuja kama mwanadamu, Akala chakula cha wanadamu, na kuishi kama vile wanadamu wanavyoishi, watu wasiohesabika walishindwa kumtambua Yeye kama Mungu na wakamkataa. Ndiyo maana Biblia inatufundisha kwamba kila roho inayokiri kwamba Yesu Amekuja katika mwili inatoka kwa Mungu, na kila roho isiyokiri hili ni roho ya mpinga Kristo.
Katika enzi ya Roho Mtakatifu, Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Walikuja kuwaokoa wanadamu. Ili wanadamu wapokee baraka ya wokovu kutoka kwa Mungu, lazima kwanza waweke kando dhana zao wenyewe na wauamini unabii wa Biblia, unaotangaza kwamba Mungu Atakuja mara ya pili katika mwili.
. . . anayetaka watu wote waokolewe na wafikie kuijua kweli. Kwa maana kuna Mungu mmoja na mpatanishi mmoja kati ya Mungu na wanadamu, yaani mwanadamu Kristo Yesu, . . . 1 Timotheo 2:4–5
Hivi ndivyo mnavyoweza kutambua Roho wa Mungu: Kila roho inayokubali kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatoka kwa Mungu. Lakini kila roho ambayo haimkubali Yesu haitoki kwa Mungu. Hii ndiyo roho ya mpinga Kristo, . . . 1 Yohana 4:2–3
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha