Kanisa ambalo Yesu Alitoa wokovu Alipokuja duniani miaka 2,000 iliyopita na kuanzisha Pasaka ya agano jipya, na Kanisa lililohudhuriwa na watakatifu wa Kanisa la mapema kama vile Mtume Paulo, Petro, na Yohana lilikuwa Kanisa la Mungu. Walakini, karibu karne ya 4, kanuni za Mungu ziliondolewa, na desturi za kipagani zikapenya kanisani. Nuru ya wokovu ilitoweka na Enzi za Giza zikaanza.
Kulingana na unabii wa Biblia, Kristo Ahnsahnghong Alianzisha Kanisa la Mungu huko Korea mnamo mwaka 1964 naye Akaliongoza Kanisa kwa ukweli wa Pasaka ya agano jipya kufuatana na msingi wa Biblia na msingi wa manabii. Alishuhudia kwa watoto Wake kuhusu Mungu Mama, Aliyekuja duniani kuwaokoa wanadamu, akisema, “Petro alimfuata Yesu, na Mimi ninamfuata Mama.”
Kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho, kwa wale waliotakaswa katika Kristo Yesu na walioitwa kuwa watakatifu, . . . 1 Wakorintho 1:2
Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ndiye jiwe kuu la pembeni. Waefeso 2:20
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha