Kwa shauku kubwa kwa wanadamu wote kuishi, Mungu Alianzisha ahadi kuu ya Pasaka. Usiku ule kabla ya kifo Chake msalabani, Alituachia mapenzi Yake ya mwisho, Akiamuru, “Lazima muadhimishe Pasaka.”
Pasaka, ambayo Mungu Mwenyewe Alituamuru tuiadhimishe, haiwezi kamwe kuondolewa kwa mamlaka ya kibinadamu. Kama vile Waisraeli, waliovumilia utumwa wa muda mrefu huko Misri, walivyokombolewa kupitia Pasaka, ukweli wa Pasaka ndiyo njia pekee ya uhuru kwa wanadamu wote, ambao wamefungwa na minyororo ya mauti.
Basi ikawadia siku ya Mikate Isiyotiwa Chachu, siku ambayo mwana-kondoo wa Pasaka huchinjwa. . . . Wakati ulipowadia, Yesu akaketi mezani pamoja na wale mitume wake. Kisha akawaambia, “Nimetamani sana kuila Pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu. Luka 22:7–15
Hivyo Yesu akawaambia, “Amin, amin nawaambia, msipoula mwili wa Mwana wa Adamu na kuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu. Mtu yeyote aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu, anao uzima wa milele. Nami nitamfufua siku ya mwisho. Yohana 6:53–54
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha